Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mimi nashabikia chama cha wananchi - Nikki wa pili

Jumatatu , 15th Oct , 2018

Msanii wa muziki wa HipHop nchini, Nickson Simon maarufu kama 'Nikki wa Pili' ameelezea masimamo wake katika siasa kufuatia maoni mbalimbali ya mashabiki wanaomtaka kujiunga rasmi na chama cha siasa baada ya hivi karibuni kutangaza nia yake ya kutaka kugombea Urais.

Msanii, Nikki wa Pili

Akipiga stori na www.eatv.tv, Nikki amesema kuwa hatosikiliza watu wanasema nini katika mipango yake ya maisha na kusisitiza kuwa kwa sasa hayupo katika chama chochote zaidi ya chama cha wananchi ambao ni wengi nchini.

Nafikiri maisha hutakiwi kuishi vile ambavyo watu wanataka,inabidi kuishi vile ambavyo wewe unataka ukiangalia kila siku watu wanasema nini huwezi endelea na mimi nilisha sema sipo chama chochote, mimi nashabikia chama cha wananchi”, amesema Nikki wa Pili.

Pia msanii huyo amesifu juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli katika utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo miundombinu ya barabara na miradi mikubwa ya umeme.

Kwa upande wa rais Magufuli mi naona ni Rais mwenye msimamo,na mambo mengi ambayo anataka anatekeleza, hususani katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo kama flyover, ambayo wote tumeiona, uwanja wa ndege punde unakaribua kuisha, mradi wa umeme wa Kinyerezi pamoja na 'Stiegler's Gorge' mradi wa kuzalishia umeme”, ameongeza.
 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita