Taarifa hiyo imetolewa na Meneja wake Melefti ambaye anasema bado hawajajua chanzo cha kifo chake.
Tutaendelea kukupatia taarifa zaidi kuhusu kifo chake hapahapa East Africa TV eastafrica radio na Digital Platform zetu zote.
Aliyekuwa msanii wa BongoFlava Spack, amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa nyumbani kwake anapoishi.