Kwenye ukurasa wake wa Instagram Steve Nyerere ameweka post huku akiweka picha za watu mbali mbali maarufu hapa Tanzania, huku akisema kuwa siku akifa watatamani kuomba msamaha jeneza lake.
“Siku nikifa najua hata wanao nichukia hawata amini, wataomba msamaha kwenye jeneza lakini itakuwa haina maaana , wangine watasema da tulimkosea sana, na wangine watakuwa wamejifunza kitu kupitia mimi, siku nikifa ,....”, aliandika Steve Nyerere.
Kisome hapa chini kile alchokiandika...