Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mzee Yusuph adaiwa Milioni 200, nyumba zake kuuzwa

Ijumaa , 22nd Mei , 2020

Aliyekuwa mkali wa muziki wa taarab mfalme Mzee Yusuph ameeleza kuwa ni kweli ana deni la Tsh milioni 202, na amegundua hilo baada ya miaka miwili kuchukua mkopo wa kiislam ambao baadaye umetoka kiharamu.

Aliyekuwa msanii wa taarab Mzee Yusuph

Akizungumza na eNewz ya East Africa TV, Mzee Yusuph amesema kwenye deni hilo hajala hata mia, ila anafuatilia kesi hiyo na atapata haki yake kwani ameshampata mwanasheria japo kesi imepangwa kupelekwa mahakama kuu.

"Ni kweli nadaiwa ila kuna vitu vingine vimeongezeka,  nilichokuwa nafikiria kwenye kudaiwa kwangu ni haikuwa halali kwa sababu kuna ujanja ujanja umetumika katika akaunti yangu kwa kutoka milioni 202 bila ya mimi kuhusika, nilikuwa nataka mwanasheria anayejua kucheza na hizi kesi na sio kama naogopa, hata wakiniuzia nyumba zangu sawa" ameeleza Mzee Yusuph 

"Kama ningepata mtu ambaye naweza nikamuhadithia hili jambo halafu akanaisaidia ingekuwa safi, lakini sitaki kusaidiwa pesa maana miaka hii imekuwa migumu maana nilikuwa na raha naongea hadi na Rais" ameongeza 

Zaidi tazama kwenye mahojiano hapa chini.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea