Nahreel na Aika
''Kutokana na habari zinazosambaa kwenye blog mbali mbali na watu mbali mbali maarufu pia wamekuwa wakipost bila kuwa na ushahidi wowote, hizi habari sio za kweli. Nina watoto wawili @gold_navykenzo na @jamaika_navykenzo . Na nimezaa na mwanamke mmoja @aikanavykenzo Kuweni makini mnapotoa habari Familia yetu haiendekezi Umbeya ila hii imevuka mipaka.'' ameandika Nahreel.







