
msanii wa bongofleva nchini Nakaaya Sumari
Nakaaya ambaye hivi karibuni ameweka wazi pia mbali na uimbaji ameamua kupanua sanaa yake kwa kurap pia, katika video ya kazi hii ameshirikisha kikamilifu mwanae huyu ambaye anatimiza mwaka mmoja sasa.
Kazi hii mpya kutoka kwa Nakaaya ni chini ya Utayarishaji wa studio za Cyne, na ni moja ya Project kubwa kabisa kwa msanii huyu kuwahi kufanya.
