Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nay: Siwema hajawahi kumjulia hali mtoto

Jumamosi , 4th Jul , 2015

Ney wa Mitego ambaye baada ya kipindi kirefu umeanza kumcheki jana katika show la kishua, Friday Night Live, sambamba na mengi aliyoweka wazi, kupitia eNewz ameeleza juu ya utaratibu wa kisheria wa malezi ya mtoto "Custody" uliopo kati yake na Siwema

Nay wa Mitego na mwanae Curtis

Ikiwa ni tatizo la watu maarufu mbalimbali nje ya nchi na baadhi yao pia hapa ndani (offcourse juzi tumesikia juu ya Sugu), Suala hili kwa upande wa Ney limekaa tofauti kudogo ambapo kwa mujibu wake, Baby Mama Siwema pembeni ya sheria, hajawahi kufanya jitihada yoyote kumuona mwanae kuelekea kipindi cha nusu mwaka sasa.

Ney amesema, licha ya mama wa mtoto huyo kuwa na mawasiliano na ndugu zake wengine kutoka familia yake, kama mama anayetakiwa kumjali mtoto wake mdogo, hajawahi kusikia hata jitihada ya aina yoyote ya Siwema kujaribu kumuona mtoto, kitu ambacho akikifanya hapo baadaye, binafsi atamuona kuwa ni mnafiki.

Ney katika wakati huo huo anaendelea kukaza kwa upande wa kazi zake, akiwa na rekodi mpya kabisa 'ngumu' kuwachana wanaoenda kinyume na mstari kama kawaida yake, ikiwa imepatiwa jina Sina Muda.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu