Jumapili , 21st Jun , 2020

Kupitia mtandao wa Instagram Nay Wa Mitego amemchana Roma Mkatoliki baada ku-comment kwenye wimbo wake wa Mungu Yuko Wapi, kwenye post hiyo Nay amesema Roma anajitoa ufahamu, ametaja sababu za Roma kukumbia Tanzania, pia amemshauri arejee kwani kuwa watu wanaweza kutembea na mke wake.

Msanii Nay Wa Mitego upande wa kushoto, kulia ni Roma Mkatoliki

"Mpendwa Roma Mkatoliki wewe ni mshkaji wangu ila kuna wakati nadhani unajitoa ufahamu sijui, kwamba wewe unaimba nyimbo ambazo Bi mkubwa akisikia wala hawezi kupanic wala kupanikishwa na watu baada ya wimbo kuzua mijadala, kwanza umekimbia nchini kwa sababu ya wimbo wa "Naitwa Roma".

"Kipindi ulivyotekwa mimi binafsi sikulala siku mbili tulikua tunashinda polisi Osterbay, Mama Roma alisema hataki tena uimbe muziki, ukiwa unanishauri muda mwingine usijifanye wewe ni mlokole kama unaimba Gospel, kuhusu huu wimbo wa Mungu yuko wapi wala hukutakiwa kutia neno coz wewe ni mwana sana

"Nikushauri tu mwanangu fanya urudi watu watapita na mkeo, hakuna mwanamke anayeweza kuvumilia kukaa mwaka mzima bila ya kujamiiana, hao wanawake walishakufaga enzi za mababu zetu, kama una mpenda mkeo na watoto fanya urudi hakuna mtu wakukukamata mambo ya wimbo yalishapita" ameandika Nay Wa Mitego 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Dear @roma_zimbabwe Wewe Ni Mshkaji Wangu Ila Kuna Wakati Nadhani Unajitoa Ufahamu Sijui.? Kwamba Wewe Unaimba Nyimbo Ambazo Bimkubwa Akisikia Wala Hawezi Kupanic Wala Kupanikishwa Na Watu Baada Ya Wimbo Kuzua Mijadala.! Kwanza Umekimbia Nchini Kwasababu Ya Wimbo #NaitwaRoma. Kipindi Ulivyo Tekwa Mimi Binafsi Sikulala Siku Mbili Tulikua Tunashinda Police Osterbay. Bimkubwa #MamaRoma Alisema Hataki Tena Uimbe Muziki. So Ukiwa Unanishauri Next Time Usijifanye Wewe ni Mlokole Kama Unaimba Gospel.! Kuhusu Huu Wimbo Wa #MunguYukoWapi Wala Hukutakiwa Kutia Neno Coz Wewe Ni Mwana Sanaa. Nikushauri Tu Mwanangu Fanya Urudi Uku Watu Watapita Na Mkeo, Hakuna Mwanamke Anaweza Vumilia Kukaa Mwaka Mzima Bila Kujamiiana Na Anajua Raha Ya Du.... Hao Wanawake Walishakufaga Enzi Za Mababu Zetu. Kama Una Mpenda Mkeo Na Watoto Fanya Urudi Hakuna Mtu Wakukukamata Mambo Wimbo Yalishapita.! #MunguYukoWapi

A post shared by Nay Trueboy (@naytrueboytz) on