Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Neno la Shamsa Ford kwa mumewe Chid Mapenzi

Jumatatu , 20th Feb , 2017

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye ni mke wa Chid Mapenzi amefunguka ya moyoni na kusema hata kama dunia nzima itakuwa ikimzomea mumewe, yeye ataendelea kumpenda kwani kitendo hicho hakiwezi kubadilisha mapenzi yake kwake. 

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford akiwa na muwewe Chid Mapenzi siku ya ndoa yao.

Shamsa Ford amesema hayo kutokana na ukweli kwamba mumewe ni kati ya watu ambao wameitwa Kituo cha Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakituhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya.

"Nilipoolewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu, huzuni, furaha, maudhi, kudharauliwa, kuchekwa. Ila pamoja na yote hayo haitabadilisha mapenzi yangu kwa mume wangu kipenzi. Nina amini kuwa wewe ni mume aliyenipa Mungu na wala Mungu hakutukutanisha kwa bahati mbaya. Dunia nzima ikuzomee na kuamini kile wanachoamini lakini jua una mke anayekupenda kwa dhati" alisema Shamsa Ford 

Mbali na hilo Shamsa Ford anasema aliamua kuolewa na Chid Mapenzi kwa kuwa alijua kuwa yeye ndiye mwenye uwezo wa kuwa baba bora kwa watoto wake.

"Ninakujua, ninakuamini na kukupenda sana ndiyo maana niliolewa na wewe kwasababu nilijua utakuwa baba bora kwa mwanangu kama ambavyo ulivyo sasa. Nina amini Mungu anapotaka kukupeleka sehemu anayoitaka yeye lazima akupitishe kwenye mitihani. Hii ni mitihani ya Mwenyezi Mungu na nina imani Inshaallah yatapita..Nakupenda sana mume Wangu kipenzi Rashidi" alisisitiza Shamsa Ford.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani