Mlinzi wa kati wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto (Pichani) akiwa mazoezini na Klabu yake hiyo mpya aliyojiunga nayo katika dirisha hili la usajili.
Nyota mpya wa Simba, Larry Bwalya (Kulia Pichani) akisaini mkataba akiwa na Kocha msaidizi wa wekundu hao wa Msimbazi Seleman Matola (Kushoto).
Msanii wa BongoFleva Rich Mavoko
Msemaji Mkuu wa serikali Dkt Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari (hawapopichani)
Mchekeshaji na Msanii wa BongoFleva Ebitoke akiwa na kaka yake Kitenge Comedian
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA, Halima Mdee
Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso
Mlinzi wa Klabu ya Barcelona, Gerard Pique akihuzunika baada ya kipigo cha aina yake walichokipata kutoka kwa Bayern Munich.
