Alhamisi , 2nd Jun , 2022

Mr II Sugu 'Jongwe' amesema lengo la kufanya tamasha la Dream Concert na kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni kurudisha heshima yake na heshima ya mziki wa Hip Hop.

Picha ya Mr II Sugu

"Nilikuwa nataka kunyanyua heshima ambayo inapotezwa ya mziki wa HipHop na heshima ya kwangu inayopotezwa. Miaka 30 lakini hakuna mtu anayetaka kutambua juhudi ninazofanya". amesema Sugu 

Zaidi tazama hapa kwenye video.