Orodha ya walioteuliwa katika Kili Music Awards 2015
1. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME
1	MZEE YUSSUF
2	CHRISTIAN BELLA
3	DIAMOND PLATNUMZ
4	ALLY KIBA
5	NYOSHI EL SAADAT		
2. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE
1	VANESSA MDEE
2	KHADIJA KOPA
3	ISHA MASHAUZI
4	SHAA
5	DAYNA NYANGE
3. MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB
1	MZEE YUSSUF
2	PRINCE AMIGO
3	HASSAN VOCHA
4	HASSAN ALLY
5	MUSSA KIJOTI		
4. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1	ALI KIBA
2	BEN POL
3	JUX
4	DIAMOND
5	BELLE 9
5. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1	JOSE MARA
2	KALALA JUNIOR
3	KHALIDI CHOKORAA
4	CHAZ BABA
5	NYOSHI EL SADAT		
6. MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1	KHADIJA KOPA
2	ISHA MASHAUZI
3	HADIJA YUSSUF
4	LEIYLA RASHID
5	FATUMA NYORO
7. MWIMBAJI BORA WA KIKE- BONGO FLEVA
1	LADY JAY DEE
2	VANESSA MDEE
3	LINNAH
4	GRACE MATATA
5	MALAIKA
8. MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
9. WIMBO BORA WA TAARAB
1	HASID HANA SABABU-HADIJA YUSSUF
2	LADY WITH A CONFIDENCE-KHADIJA KOPA
3	CHOZI LA MAMA-MZEE YUSUPH
4	FANYA YAKO-LEYLA RASHID
5	MAPENZI HAYANA DHAMANA-ISHA MASHAUZI		
10. WIMBO BORA WA MWAKA
1	MWANA -ALI KIBA
2	NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT OMMY DIMPOZ
3	GERE -WEUSI
4	NITASUBIRI -JUX
5	BONGO HIP HOP -FID Q
11. WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1	OTILIA-FM ACADEMIA
2	KIU YA HAKI-MASHUJAA BAND
3	SAUTI YA MAREHEMU-MAPACHA WATATU
4	GANDA LA MUA-THE AFRICAN STARS (TWANGA PEPETA)
5	WALE WALE-VIJANA NGWASUMA		
12. WIMBO BORA WA R&B
1	NITASUBIRI -JUX
2	UNANICHORA -BEN POL
3	VITAMIN MUSIC -BELLE 9 FT JOH MAKINI
4	SISIKII -JUX
5	NI PENZI -DAMIAN SOUL
13. WIMBO BORA WA HIP HOP
1	BONGO HIP HOP -FID Q
2	MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3	KIPI SIJASIKIA -PRO J FT DIAMOND
4	GERE -WEUSI
5	I SEE ME -JOH MAKINI
6	XO -JOH MAKINI FT GNAKO			
14. WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1	LET THEM KNOW-MAUA
2	MAMA AFRIKA -WARRIORS FROM THE EAST
3	MAISHA MAGUMU-WARRIORS FROM THE EAST
4	GREETINGS FOR YOU-RAS SIX
5	TUJIMWAGE-DEDDY
15. RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1	FERGUSON
2	MSAFIRI DIOUF
3	SAUTI YA RADI
4	J4
5	KABATANO		
16. MSANII BORA WA HIP HOP
1	FID Q
2	JOH MAKINI
3	 MWANAFA
4	PROFESSOR  JAY (PROF J)
5	ROMA
17. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1	SURA YAKO -SAUTI SOL
2	KIOO -JAGUAR
3	WALEWALE -JOSE CHAMILION
4	PROKOTO -VICTORIA KIMANI FT DIAMOND,OMMY DIMPOZ
5	SHOW -VICTORIA KIMANI		
18. MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1	MZEE YUSSUF
2	THABITI ABDUL
3	ISHA MASHAUZI
4	ABDALLAH FERESHI
5	HASSAN ALLY
19. MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1	ALI KIBA
2	DIAMOND
3	BEN POL
4	BARNABA
5	JUX		
20. MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1	JOSE MARA
2	NYOSHI EL SAADAT
3	ROGART HEGGA KATAPILA
4	HUSSEIN JUMBE
5	RICHARD MANGUSTINO
21. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1	FID Q
2	MWANA FA
3	JOH MAKINI
4	NIKKI WA PILI
5	KALAH JEREMAYAH		
22. MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1	NAHREEL
2	MAN WATER
3	MESEN SELEKTA
4	TUDD THOMAS
5	MARCO CHALI
23. MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA  MWAKA- TAARAB
1	ENRICO
2	MARLON LINJE		
24. MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1	ALLAN MAPIGO
2	ENRICO
3	SAID COMORIEN
4	AMOROSO
5	ABABUU MWANA ZANZIBAR
25.VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1	MDOGO MDOGO-DIAMOND
2	NITAMPATA WAPI-DIAMOND
3	MWANA-ALI KIBA
4	OLETHEMBA-LINAH
5	ASANTE-AY		
26. WIMBO BORA WA AFRO POP3
1	MWANA -ALI KIBA
2	MDOGO MDOGO-DIAMOND
3	NISEME -YAMOTO BAND
4	NITAKUPWELEPWETA -YAMOTO BAND
5	KANYA BOYA- MESEN SELEKTA
6	HAWAJUI -VANESSA MDEE
27. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1	NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT OMMY DIMPOZ
2	BASI NENDA -MO MUSIC
3	NITAMPATA WAPI -DIAMOND
4	NASIMAMA -LADY JAY DEE
5	HISTORIA -LADY JAY DEE		
28. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA
1	WAITE-MRISHO MPOTO FT FELLY KANO
2	VUMA-VITALIS MAEMBE
3	TUMETOKA MBALI-JAGUAR MUSIC
4	MAMA SHABANI-IFA BAND
5	OMWANA-B.K.SANDE
29.MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1	BARAKA DA PRINCE
2	BEKA TITTLE
3	AFROMANIAC
4	ALICE
5	BIILLNAS		
30. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA
1	FOREVER -LADY JAY DEE FT DABO
2	MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3	KIPI SIJASIKIA -PROF J FT DIAMOND
4	KIBOKO YANGU -MWANA FA FT ALI KIBA
5	KEREWA -SHETTA FT DIAMOND
31.BENDI BORA YA MWAKA
1	FM ACADEMIA
2	THE AFRICAN STARS (TWANGA PEPETA)
3	MAPACHA WATATU
4	MASHUJAA BAND
5	MSONDO NGOMA MUSIC BAND		
32. KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1	JAHAZI MODERN TAARAB
2	MASHAUZI CLASSIC
3	DAR MODERN TAARAB
4	FIVE STARS
5	WAKALI WAO MODERN TARADANCE
33. KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1	YAMOTO BAND
2	WEUSI
3	NAVIKENZO
4	MAKOMMANDO
5	B.O.B

