Jumatatu , 23rd Mei , 2022

Msanii Marioo 'Toto Bad' ameshea picha ya kwanza akiwa Mimi Mars ambaye inadaiwa kuwa ni wapenzi kwa sasa huku akieleza kutaka kumuwekea 'Swimming Pool' nyumbani kwa sababu anapenda kuogolea.

Picha ya msanii Marioo akiwa na Mimi Mars

Marioo ameweka wazi hilo baada ya ku-make headlines mitandaoni kuhusu kitendo kilichomuumiza kwenye maisha yake akimlenga Mimi Mars kuogelea katika swimming la Diamond Platnumz.