Jumamosi , 19th Feb , 2022

CEO wa Next Level Music Rayvanny amevunja ukimya kuzungumzia 'Issue' ya kuondoka Wasafi Classic Baby (WCB) ambayo inasemwa sana mitandaoni.

Picha ya Rayvanny kushoto kulia ni Harmonize

Akizungumzia hilo Rayavanny amemtolea mfano Harmonize kwa alivyoondoka WCB huku akisema yeye bado yupoyupo sana.

Zaidi mtazame hapa Rayvanny akifunguka kuhusu suala hilo.