Jumanne , 19th Sep , 2023

Goddess of Rap Rosa Ree ameendelea kuwakalia kooni rappers wa Kenya baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake mpya wa Kanairo ambao kuna lines amewadiss rapa hao wa Kenya.

Picha ya Rosa Ree

Tayari Rosa Ree amemjibu Khaligraph Jones kupitia diss yake ya Mama Omollo baada ya Khali kusema rap game ya Tanzania imelala.

Kwa sasa Rosa Ree yupo Kenya akifanya Media Tour na kushirikiana na mashirika mbalimbali ya nchini humo yanahusiana na kutoa elimu kuhusu Afya akili na kusaidia wa mama wanaojifungua.