Jumanne , 26th Oct , 2021

Mchekeshaji Stan Bakora ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video akiwa na Sonara akitoboa kitovu chake na kuweka kipini.

Picha ya Mwigizaji Stan Bakora

Kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na utamaduni huo umezoeleka kufanywa na jinsia ya kike.