Ijumaa , 8th Apr , 2022

Steve Nyerere ametoa maoni ya kuwekwa kwenye nyumba ya makumbusho kwa wasanii waliofariki ikiwa ni ishara ya heshima kwa walichokifanya na mchango mkubwa kwa Taifa.

Picha ya Steve Nyerere na mama yake Steven Kanumba

Steve Nyerere amewataja wasanii hao ni Steven Kanumba, Sajuki, Mangwea, Bi Kidude, Mzee Kipara, Mzee Pwagu, Mzee Small, Mzee Majuto, Mzee Ngurumo, Mzee Bichuka, Mzee Waziri Ally,  Bibi Hambiriki, Isa Matona, Sharo Milionea, Bi Leila Hatibu, na Steve 2 K.