Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Timbulo awataka wasanii wasimlilie

Jumatatu , 17th Jul , 2017

Mwanamuziki anayetamba na ngoma ya 'Mshumaa', Timbulo amewataka wasanii wasipate presha kipindi hiki ambacho yeye anaachia ngoma mara kwa mara kwani alikaa nje ya 'game' muda mrefu hivyo sasa anafanya kazi kwa bidii ili kwenda sawa na waliopo sokoni.

Akizungumza kwenye 5Selekt ya EATV , Timbulo amesema kwamba yeye ni mfuasi wa muda hivyo kipindi alichokuwa amekaa kimya wasanii wengine walikuja na kufanya vizuri hivyo sasa ni muda wake kuwaonyesha uwezo wake lakini wameanza kuogopa na kulalamika.

"Sasa hivi nimeamua kutoa vyuma ili niende sawa na wenzangu waliokuwepo kwenye game, kuna baadhi ya wasanii mpaka wanalia wananiambia mbona sasa unazidisha kila siku wewe tu unaachia ngoma mpya, nawaambia tulieni nataka tuende sawa maana wao wameshaniacha mbali sitakiwi tena kutembea. 

Kwa upande mwingine Timbulo amesema kwamba hafahamu ukubwa alionao Tanzania kwani bado anajiona hajafika mahali ndio maana anakaza kupambana kila siku

"Mimi sijui ukubwa wa jina langu, watu wa nje huko ndio wanafahamu nina ukubwa gani. Watu wanapohoji umri niliokuwepo kwenye game na ukubwa wa jina langu mimi nitawajibu na deserve kuwa hivi kwani mimi nilikaa kimya muda mrefu nikawaacha wengine wafanye, lakini namshukuru Mungu bado watanzania wananipa sapoti ya kutosha". Aliongeza.

Pamoja na hayo Timbulo amesema anaamini huu ndio muda wake sahihi wa kung'aa ingawa alikuwa kimya muda mrefu kwenye 'game'.

"Mimi ni muasisi mzuri wa muda, kung'aa kwangu siyo kwamba nimebadilisha uongozi, waliokuwa wakinisimamia toka naanza muziki ndio mpaka saivi nipo nao ingawa wapo wasanii kibao walioondoka na kutukana kwamba management haina pesa. Hivyo sasa hivi kuonekana nafanya poa ni kwa sababu muda wangu umefika wa kung'aa", T imbulo alisema

HABARI ZAIDI

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera