Jumanne , 28th Sep , 2021

Kutoka himaya ya ufalme Kings Music Records msanii Tommy Flavour amenyoosha maelezo kusema hayupo kwenye game ili kushindana na mtu japo anafurahishwa na mafanikio ya Zuchu na Ibraah na inawezekana akawa kama wao au zaidi.

Kutoka kushoto ni Ibraah, kati Tommy Flavour na kulia Zuchu

Tommy Flavour amejibu hilo baada ya baadhi ya mashabiki ku-compare yeye na Zuchu kutoka WCB na Ibraah wa Konde Gang ambapo wanadai kama amepoa kwenye upande wa kazi tofauti na hao wenziye.

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video.