Ijumaa , 21st Oct , 2022

Msanii wa BongoFleva na shabiki wa Klabu ya Simba Tundaman amesema timu yake hiyo ikifungwa tena na Yanga ataacha kuimba nyimbo za kuisifia Simba kama anavyofanya kila mwanzo wa msimu mpya.

Msanii Tundaman akizungumza na EATV & EA Radio Digital

Zaidi mtazame hapa Tundaman akizungumzia suala hili.