Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'Ukiwa staa lazima ujitambue' - Ommy Dimpoz

Jumanne , 12th Nov , 2019

Mshindi wa tuzo za Afrimma mwaka 2019, katika kipengele cha msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Ommy Dimpoz, amezumgumzia suala lake la kusafiri mara kwa mara na kudai kuwa huwa haendi kula bata pekee bali ni kutafuta 'connection'.

Msanii wa BongoFleva Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz amesema hayo katika kipindi cha E-Newz ya East Africa Television, baada ya kuulizwa safari zake za kwenda kula bata nchi za nje, pamoja na kupiga picha na wasanii wakubwa wa mataifa mengine.

"Sijaelewa watu wakisema bata wanaamanisha nini ni kitu ambacho watu wanashindwa kuelewa sisi ni 'brands', watu wenye ushawishi nikikufungulia email yangu nitakuonesha mialiko, mingine hadi naikataa ili mienendo yangu iendane na kazi, pia connection zinapatikana na tunazitumia vizuri" amesema Ommy Dimpoz.

Aidha Ommy ameongeza kuwa, "Kitu akifanya Ommy kinageuka kuwa bata kwa mfano juzi tu nimetoka kuchukua tuzo za Afrimma, lakini watu hawajauliza hilo, ukishakuwa brands na ukijitambua mambo mengine yanakuwa ni rahisi sana".

Pia Ommy Dimpoz amesema kuwa tayari ameshafanya kazi tatu na wasanii wakubwa wa kimataifa na mwisho wa mwezi huu ataenda ku-shoot nao video.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita