Jumatano , 15th Dec , 2021

Mbali na uwezo wa kuchana na kuwa icon wa muziki wa HipHop Bongo The Heavyweight Prof Jay, anasema yupo vizuri kwenye upande mchezo wa ngumi 'boxing' na usithubutu kumgusa kwenye upande huo.

Picha ya msanii Prof Jay

Prof Jay anasema anaupenda sana mchezo wa ngumi na anaufuatilia hivyo anaomba mashabiki wa mchezo huo waendelee kuusapoti ili uweze kufika mbali.

Baadhi ya mabondia anaowafuatilia ni Hassan Mwakinyo, Twaha Kiduku, Dulla Mbabe, Francis Miyayusho, Mfaume Mfaume na Selemani Kidunda.