Picha ya msanii Prof Jay
Prof Jay anasema anaupenda sana mchezo wa ngumi na anaufuatilia hivyo anaomba mashabiki wa mchezo huo waendelee kuusapoti ili uweze kufika mbali.
Baadhi ya mabondia anaowafuatilia ni Hassan Mwakinyo, Twaha Kiduku, Dulla Mbabe, Francis Miyayusho, Mfaume Mfaume na Selemani Kidunda.