Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watu maarufu ni ngumu kupata wapenzi - Man Water

Jumanne , 13th Oct , 2015

Mtayarishaji maarufu wa muziki hapa nchini kutoka studio za Combination sound, Man water, amesema watu maarufu hususani wasanii, wanakuwa na wakati mgumu sana katika kumpata mtu sahihi wa kuwa naye kwenye mahusino.

Man Water ameyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa radio, na kusema kwamba mara nyingi wasanii wa kiume wanapata wakati mgumu wa kutambua yupi ana mapenzi ya kweli.

"Unajua sisi wasanii, producers, watu ambao famous tunakuwaga na changamoto sana inapokuja kwenye suala la mahusiano, mapenzi, mimi nilikuwa sijui who is the right person, yani napata marafiki wengi wa kike kiurahisi tu, lakini nashindwa kujua hawa wanampenda John au wanampenda Man Water!?, sababu hata mahusiano yenyewe yanaanzakiurahisi na yanavunjika kiurahisi", alisema Man Water.

Man water aliendelea kwa kusema kwamba kitendo hicho mara nyingi wanaume ndiyo wanakuwa waathirika wakubwa kuliko wanawake, kwani wao hujikuta wamependa na wenzao wakiwa wamefuata umaarufu wao.

"Kwa upande wa dada zetu sidhani kama wanaumiaga, ila upande wa mwanaume inaonekana anaumia kwa sababu ye anakuwa ameanza kupenda, lakini kumbe wewe umependa ile fame

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi