Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Aliyerekodi video ya Polisi akiua mtu apata kiwewe

Ijumaa , 29th Mei , 2020

Msichana Darnella Frazier (17) ambaye amerekodi video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Polisi akimkandamiza shingoni George Floyd hadi kufariki,  amesema amepata kiwewe baada ya kurekodi tukio hilo.

Msichana wa miaka 17, Darnella Frazier ambaye amerekodi tukio la polisi akimuua raia George Floyd

Kijana huyo amesema baada ya kupost video mitandaoni ambayo imesambaa Dunia nzima, amepokea ukosoaji mwingi kwa kutoingilia wakati Polisi alipokuwa amekandamiza  goti kwenye shingo ya George Floyd hadi kufariki.

"Sijatarajia mtu yeyote aliyekuwa kwenye nafasi yangu kuelewa na ninavyojisikia nilivyofanya tukio lile, mimi ni mchanga nina miaka 17 naogopa kupigana na Polisi kwa sababu walikuwepo pale na kupigana kunaweza mtu mwingine auawe hapohapo, hata nisingekuwa mimi bado Polisi wangefanya kazi yao na ningeenda ningesababisha matatizo mengine" ameeleza msichana Darnella Frazier.

Polisi aliyefanya tukio la mauaji kwa George Floyd na wenzake watatu wamefukuzwa kazi huko Minneapolis nchini Marekani, na baadhi ya watu maarufu na wasanii nchini humo wamepinga vikali na wamekemea tukio hilo na kutaka haki za watu weusi zilindwe.

 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita