
Picha ya Bibi Kamaliza Verena
Bibi huyo anasema "Mimi bado ni bikira. Sijawahi kuolewa, sijawahi kulala na mwanaume na sijui inakuwaje. Bado nina matumaini ya kupata mpenzi".
Pia ameongeza kusema huenda hajapata mume kwa sababu ya maumbile yake ya kimo kifupi akieleza kuwa hana ujasiri wa kukaribia au kuzungumza na wanaume.