Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chanzo cha kifo cha aliyefufuliwa na Mch. Lukau

Jumatatu , 8th Apr , 2019

Kijana Brighton Moyo, raia wa Zimbabwe aliyekuwa akiishi Afrika Kusini ambaye alijipatia umaarufu baada ya kuonekana katika tukio la kufufuliwa na Mchungaji Alph Lukau, amefariki Dunia na amezikwa Jumamosi iliyopita.

Mchungaji Alph Lukau akiwa na marehemu Brighton.

Kwa mujibu wa majirani zake kutoka nchini humo wanadai kuwa alizikwa siku tatu baada ya kufariki, na inaelezwa kuwa alikuwa akiishi na VVU, na baadaye figo na mapafu yake vilishindwa kufanya kazi hadi hapo vilipopelekea kifo chake.

Mmoja kati ya ndugu zake amesema kuwa walipewa na taarifa za ugonjwa wake na msichana aliyekuwa akiishi naye ambaye aliwaeleza kuwa, tumbo lake lilianza kuvimba na kujaa maji na baada ya siku tatu akawa amefariki.

Kijana huyo alijizolea umaarufu baada ya kusambaa kwa habari za Mchungaji wa Afrika Kusini Alph Lukau kumfufua mtu katika ibada yake ya Jumapili ya Februari 24, 2019, ambapo baadaye iligundulika kuwa hakuwa amefariki.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa