Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Mkapa alinifanya nianze kupiga kura" - Shusho

Jumamosi , 25th Jul , 2020

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho amesema moja ya matukio anayoyakumbuka kutoka kwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa ni kupiga kura kwa mara yake ya kwanza na alivyotangaza kifo cha Baba wa Taifa Mwalim Julius Kambarage Nyerere.

Msanii wa Injili Christina Shusho

Akizungumza kwenye show maalum ya Friday Night Live Christina Shusho amesema 

"Kikubwa ninachokikumbuka wakati wa uongozi wake kwa mara ya kwanza nikaanza kupiga kura kumbukumbu hiyo hainitoki nashukuru Mungu ni baraka, amefanya vizuri na tuna mengi ya kujifunza kutoka kwake, nakumbuka tena mwaka 1999 anatangaza kifo cha Baba wa Taifa kwa wakati huo ilikuwa ngumu kwa sababu tulikuwa tuna hofu ya kuingia mwaka 2000 maana tuliambiwa Yesu anarudi kutakuwa na mabomu, mlipuko na radi" ameeleza Christina Shusho 

Zaidi tazama kwenye video hapa chini

HABARI ZAIDI

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala