Jumanne , 8th Jun , 2021

The Boxing Eagle, Hassan Mwakinyo Jr unaweza kusema sio mtu hatari tu akiwa ndani ya ulingo bali hata kwenye masuala ya mitindo bado amekuwa akishinda kwa knockout (KO).

Bondia huyo ameonekana kupendelea kuvaa mitindo mbalimbali ya mavazi akiwa na maisha yake ya kawaida nje ya kazi yake hii ni kutokana na baadhi ya picha alizo-post instagram kwa nyakati tofauti.

Tazama picha akiwa kwenye muonekano tofauti