Ijumaa , 1st Dec , 2023

Kwa mujibu wa kitabu cha ''Guinness World Records'' kina mtaja Smita Srivastava kama mwanadamu mwenye nywele ndefu zaidi ulimwenguni, kwa kuwa na nywele zenye urefu wa Futi 7 na Inch 9 (Ni sawa na urefu wa milango ya kisasa)

Smita Srivastava mwenye umri wa miaka 46, amesema kuwa amekuwa na utaratibu wa kukuza nywele zake tangu akiwa na umri wa miaka 14,

''Katika utamaduni wa kihindi; nywele ndefu huogeza uzuri wa mwanamke, kwenye utamaduni wetu wanawake hatujazoea kunyoa nywele na ndiyo sababu wanawake wengi wanafuga nywele zao'' alisema Smita Srivastava

Cc: guinnessworldrecords