
Mchungaji akionekana kupaa
Katika kanisa hilo waumini wanaonekana wakiimba huku wengine wakimsukuma mchungaji huyo huku pia akionekana shingoni mwake amefungwa kamba na akivutwa kwenda juu.
Kupitia mitandao ya kijamii watu wengi wametoa maoni tofauti, huku wengine wakidai kwamba huenda ikawa ni maigizo yalikuwa yakifanywa na mchungaji huyo.