Aweka bondi gari yake Yanga ikiifunga Simba

Jumamosi , 4th Jan , 2020

Baadhi ya Mashabiki wa Simba na Yanga mkoani Songea wamewekeana rehani gari kwa endapo timu moja wapo itaibuka na ushindi katika mchezo wa leo, unaofanyika Januari 4, 2020.

Gari

Wakizungumza na waandishi wa habari mkoani Songea moja ya mashabiki waq Simba aliyefahamika kwa jina Chonaqpi amesema yeye na rafiki yake Hamis wameamua kuwekeana gari kama dhamana kuelekea mchezo wa wa leo.

Tazama video kamili hapo chini.