Bernardo Silva
"Baada ya miezi kadhaa itakuwa muda wa kuondoka City klabu ambayo imenipa mafanikio siyo tu ya soko bali hata ya kimaisha na familia ilianzia hapa"
"Nashukuru uongozi wa Klabu, Kocha Pep Guardiola na wachezaji wenzangu wote kwa mudo wote nilioishi nao mmekuwa sehemu ya safari hii ndefu" - Bernado Silver



