Jumapili , 6th Dec , 2020

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefuta mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua awali mkondo wa pili kati ya Rabita FC dhidi ya KMC uliokuwa upigwe leo kwenye uwanja wa Azam Complex. 

Baadhi ya wachezaji wa Namungo FC

CAF imefikia uamuzi huo baada ya Chama cha soka nchini Sudan Kusini (SSFA) kushindwa kukamilisha taratibu za waamuzi waliopangwa kuchezesha mechi hiyo.

Taarifa kamili ya TFF hapo chini