Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ubingwa
Pia Chelsea imekuwa timu ya 3 kutoka England kuchukua ubingwa wa Dunia zingine ni Liverpool na Manchester United.
Magoli ya Chelsea yalifungwa na Romelu Lukaku na Kai Harvertz kwa panati huku lile la Palmeiras likifungwa na Raphael Veiga kwa penati.
Beki wa Chelsea Thiago Silva ndio alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya fainali pamoja na mashindano kwa ujumla.




