Maamuzi hayo kuifungia nchi ya Benin, yametolewa na kikao cha FIFA kilichofanyika nchini Mexico.
Ili kuinusuru nchi hiyo, kifungo hicho kitaondolewa mara moja endapo Mahakama itaruhusu uchaguzi wa viongozi wa FBF kufanyika.
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeisimamisha nchi ya Benin kwenye mashindano yake baada ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo (FBF).