(Lewsi Hamilton)

(Lewis Hamilton akiwa na mavazi yenye nembo ya timu yake ya Mercedes)
Hamilton 37 ambaye ametwaa taji la langalanga mara saba, siku ya Jumatatu na Jumanne alimaliza majukumu yake na kujiandaa na mbio za msimu huu huku baadhi ya vipande vya video akiviweka kwenye mtandao yake ya kijamii.

