
Ernesto Valverde
Valverde ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Barcelona,wiki iliyopita alitangaza kuwa anaondoka Athletic baada ya kudumu klabuni hapo kwa takriban miaka minne.
Meneja huyo, mwenye umri wa miaka 53, atamrithi Luis Enrique, ambaye alitangaza tangu mwezi Machi mwaka huu kwamba anaondoka Barcelona baada ya mkataba wake wa miaka mitatu kumalizika.