
Kyrie Irving wa Brooklyn Nets (kushoto) akijaribu.
Irving ametozwa faini hiyo baada kufanya kosa hilo kwa kujirudia rudia na ametozwa faini hiyo sawa na timu yake ya Brooklyn Nets ambayo inapswa pia kulipa dola za kimarekani 35,000 sawa na milioni 81 na zaidi la laki moja za kitanzania.
Brooklyn Nets ambayo imepoteza michezo mitatu mfululizo, pamoja na usiku wa kuamkia leo dhidi ya Milwaukee Bucks kwa alama 124 kwa 118, wanatazamiwa kushuka tena dimbani usiku wa kuamkia kesho dhidi ya Dallas Mavericks saa 8:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
NBA inatazamiwa kuendelea tena alfajiri ya kumakia kesho kwa michezo mingine 6, ambapo mabingwa watetetzi wa kombe hilo, timu ya Los Angeles Lakers itacheza dhidi ya Los Angeles Lakers saa 11:00 alfajiri ya kuamkia kesho ukiwa ni mchezo wa watani wa jadi kutoka jiji la Los Angeles.