
Hata hivyo uongozi wa timu ya Yanga umeweka hadharani kikosi chake za maangamizi dhidi ya wekundu wa Msimbazi wa Kariakoo na kusema leo hii utatumia mfumo wa 1,4,3,3 katika kufanya mashambulizi yao.
1.Rostand Youthe
2.Juma Abdul
3.Gadiel Mbaga
4.Andrew Vincent
5.Kelvin Yondani
6.Pappy Tshishimbi
7.Raphael Daud
8.Thaban Kamusoko
9.Ibrahim Ajibu
10.Donald Ngoma
11. Emmanuel Martin
Wachezaji wa akiba
-Ramadhan Kabwili, Hassan Kessy, Haji Abdallah, Mwinyi Haji, Juma Makapu, Yusuph Mhilu, Juma Mahadhi.