Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kocha Geita Gold afunguka Mpole kutua Simba

Jumanne , 5th Jul , 2022

Kocha Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga.

Mfungaji bora wa msimu 2021 - 2022 George Mpole.

Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold kutokana na uwezo mkubwa ambao ameuonyesha msimu huu akifanikiwa kuhusika katika mabao 21 katika michezo 30 ya Ligi Kuu aliyocheza msimu huu, akifunga mabao 17 na kuasisti mara nne.

Mpole ambaye alijiunga na Geita Gold akitokea Polisi Tanzania msimu uliopita, amesaliwa na mkataba wa mwaka mmoja ndani ya kikosi cha Geita Gold, unaotarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu ujao, na tayari Simba na Yanga zimefanya mazungumzo naye huku pia akiwa na ofa kutoka nje ya nchi.

Kocha Minziro, amesema kuwa ni jambo lililo wazi kuwa tuko katika nafasi kubwa ya kumpoteza Mpole kuelekea msimu ujao kutokana na kile ambacho amekionyesha msimu huu, tunatamani kubaki naye, nami binafsi nimefanya mazungumzo naye kuona uwezekano wa kumbakisha.

“Lakini kama mchezaji naye anatafuta maisha hivyo anaweza kufanya uchaguzi ambao anaona unamfaa, nasi tumejiandaa kwa chochote ambacho kitatokea.amesema kocha Minziro

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea