
(Kiungo wa Simba na Uganda, Taddeo Lwana akiwa ameshikilia tuzo yake)
Taddeo ameshinda baada ya kupigiwa kura 468, 631 kati ya kura 1,124, 568 zilizopigwa wakati Erick Kambale amekuwa wapili kwa kura 399, 426 huku Sentamu akiwa watatu kwa kupata kura 256, 529.
Lwanga anakuwa mchezaji watatu kubeba tuzo hiyo tokea kuanzishwa kwake baada ya Allan Okello (KCCA) kushinda 2019 na Nicholas Wadada (Azam FC) kushinda mwaka 2020.