Jumapili , 29th Jun , 2025

Wananchi, Young Africans Sc wametwaa kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) kwa mara ya nne mfululizo kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Black Stars katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar kwenye fainali.