Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Messi nje wiki mbili

Alhamisi , 23rd Sep , 2021

Mshambuliaji mpya kwa klabu ya PSG, Lionel Messi anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wili mbili baada ya vipimo vya MRI kuonesha kuwa amepata mikwaruzi ndani ya goti lake la kushoto ambalo lilimfanya aanze kupata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Lyon wikiendi iliyopita.

Lionel Messi akionekana akishikilia goti lake la kushoto na kuugulia maumivu kwenye mchezo wa PSG dhidi ya Lyon ambao PSG ilishinda 2-1.

Kwenye mchezo huo, Kocha wa PSG, Mauricio Pochettino aliishuku afya ya nyota huyo na kuamua kumfanyia mabadiliko dakika ya 75 na nafasi yake ilichukuliwa na mlinzi wa kulia, Achraf Hakini kwenye mchezo ambao ulizua gumzo baada ya Messi kufanyiwamabadiliko.

Messi tayari ameukosa mchezo mmoja wa Ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya Metz usiku wa kuamkia leo Septemba 2021kwa PSG kupata ushindi wa mabao 2-1 na kufikisha alama 21 kwenye michezo yake 7 na kuwa na ushindi wa asilimia mia moja.

Maumivu ya goti yanayomkumba Messi na kutazamiwa kumuweka nje kwa wiki mbili, yatamfanya akose mchezo wa Liguue w dhidi ya Montepelier na hata ule wa Manchester City kwenye Ligi ya mabingwa barani Ulaya utakaochezwa Septemba 28 mwaka huu.

Wakati Lionel Messi anaumia, kiungo Maeco Verratti na Mlinzi wa kati Sergio Ramos wameanza mazoezi ya kujiweka fiti zaidi ili ajitupe dimbani

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala