Haji Manara (katikati) akiwa na viongozi wa Yanga kwenye utambulisho wake.
Akiongea kwenye mkutano wa utambulisho Manara amesema, ''kuanzia sasa Yanga hatuhitaji kulalamika, tutachukua ubingwa wetu na makombe yote''.
Sikiliza hapo chini akiongea
Baada ya Haji Manara ambaye alikuwa msemaji wa Simba SC kujiunga na Yanga SC jana Agosti 24, 2021 ameanza tambo kwa kusema sasa klabu hiyo haitalalamika.