
Picha ya Wachezaji wa Manchester United na Gary Neville
Pia Neville amemsisitizia kocha Ole Gunnar Solskjaer kufanyia kazi madhaifu ya kikosi chake ikiwa ni pamoja na kuifanya timu kuwa na mshikamano ili kuondokana na mwenedo mbaya wa matokeo wanayoyapata uwanjani
Beki huyo wa zamani wa "Mashetani Wekundu" anasema kuwa haya sio matokeo ya kwanza ya kukatisha tamaa yaliyopatikana na timu ya Ole Gunnar Solskjaer kwani mpaka sasa tayari wamepoteza kwa Young Boys, Aston Villa na West Ham msimu huu.