Ijumaa , 24th Apr , 2026

MICHEZO: UEFA imemfungia Gianluca Prestianni mechi sita (6) kwa kumbagua Vincius Junior wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA mapema msimu huu.

Gianluca Prestianni

Katika taarifa ya UEFA inasema adhabu hiyo ilitolewa ilitafsiriwa kama tabia ya kibaguzi, pia ikisisitiza kuendelea kwake kukandamiza tabia za unyanyasaji katika mchezo wa soka.

Hata hivyo, mechi tatu kati ya sita zimesimamishwa kwa kipindi cha majaribio, na kupunguza athari ya haraka ya adhabu hiyo. Prestianni tayari ametumikia mechi moja chini ya kusimamishwa kwa muda, ikimaanisha atalazimika kukaa nje ya uwanja michezo miwili zaidi.