Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Singida United yakataa urafiki na Yanga

Jumatano , 15th Aug , 2018

Uongozi wa Singida United umekana kuwa na mahusiano na klabu ya Yanga baada ya taarifa kusambaa kuwa klabu hiyo imewatoa baadhi ya wachezaji wake iliyowasajili msimu huu bure kwenda klabu ya Yanga.

Wachezaji wa Singida United na Yanga wakichuana katika moja ya mchezo wa ligi kuu.

Akizungumza katika tukio la kutambulisha udhamini mpya wa vifaa vya michezo vya msimu huu vya timu hiyo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga amesema.

Kunapokuwa na urafiki wa mtu mmoja na klabu nyingine haimaanishi klabu yetu ina urafiki na timu hiyo, Singida United naweza nikasema haijawahi na haitokuja kutokea kujenga urafiki na Yanga kwasababu unapoleta urafiki kati ya timu hizi mbili ambao unafikia kiwango hadi cha kubadilishana wachezaji bure, inashusha ushindani kwenye ligi", amesema Sanga.

Sanga ameongeza kuwa katika kuthibitisha kuwa hawana urafiki na klabu ya Yanga, walifanya kila liliwezekana msimu uliopita ili kuwafunga Yanga na walifanikiwa katika hilo baada ya kuwatoka katika michuano ya shirikisho.

Katika hatua nyingine klabu hiyo imetambulisha jezi rasmi za nyumbani na ugenini watakazozitumia katika mashindano msimu huu, jezi ya nyumbani ikiwa na rangi ya bluu inayomaanisha kuenzi historia ya timu hiyo ambayo ilianzia katika ziwa Singidani.

Jezi ya ugenini ikiwa na rangi ya kijani na njano ambayo inalenga kuwakilisha zao maarufu la Alizeti linalolimwa kwa wingi mkoani Singida.

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria