Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Tulidhulumiwa sana Simba SC" - Haji Manara

Jumatano , 16th Mei , 2018

Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Mabingwa wa Ligi Kuu (VPL) Simba SC, Haji Manara amefunguka na kuishukuru Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na Bodi ya Ligi kwa kuweza kuendesha michuano vizuri mpaka kupatikana bingwa bila ya kuwepo figisu figisu zilizo zoeleka kuwepo.

Manara ametoa kauli hiyo leo Mei 16, 2018 wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kusema endapo asingetoa shukrani hizo kwa niaba ya wanasimba basi angekuwa mnafiki.

"Nisipo ishukuru Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kwa niaba ya wanasimba nitakuwa mnafiki, kwasababu tulikuwa na tatizo kubwa la uozo kwenye mpira haipendezi kuirudia rudia lakini ni lazima niiseme. Bingwa alikuwa anaamuliwa kwenye twitter, ratiba zilikuwa zinapangwa mtandaoni mtu mmoja ndio alikuwa anaamua kila jambo, tulidhurumiwa sana Simba SC", amesema Manara.

Pamoja na hayo, Manara ameendelea kwa kusema "katika vitu ambavyo havitaweza kunitoka moyoni mwangu hili ni moja wapo la dhuruma, ujuha na uchizi wangu nilikuwa naonekana leo nimelipa na ndio maana Haji Manara maarufu kuliko msemaji yoyote Tanzania kwasababu wanasimba wana niamini na wanajua nimewapigania wakati tulipokuwa kwenye vita".

Kwa upande mwingine, Haji Manara ametoa ahadi kwa Rais Magufuli pamoja na mashabiki wa soka watakaofanikiwa kuingia uwanjani mnamo Mei 19, 2018 kuwa kikosi chake cha Simba kitatoa burudani ya aina yake ambayo haijawahi kutolewa tokea ligi kuu ilivyoanza.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita