Kikosi cha England tajari kwa Kombe la Dunia 2026 Kocha Thomas Tuchel (Kulia) na Reece James Kikosi cha timu ya taifa ya England (Three Lions) kimewasili salama katika mji wa Miami (Florida) nchini Marekani tayari kwa maandalizi ya mwisho kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026. Read more about Kikosi cha England tajari kwa Kombe la Dunia 2026